Fundi pikipiki natatuta kazi

Fundi pikipiki natatuta kazi

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Habari ya uzima.

Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM

Natengeneza pikipiki za aina zote
 

Mcheki huyo jamaa
 

Mcheki huyo jamaa
This job is taken


So bado natafuta
 
Back
Top Bottom