Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
This job is takenNahitaji fundi pikipiki
habari wakuu, nahitaji mwenye kumfahamu fundi pikipiki anayetafuta ajira, mwenye uzoefu na pikipiki za boxer na tvs. location dar es salaam, karibu na mjini sio nje ya mji. ofisi ni mpya na ni kubwa kiasi kuhusu chakula na kulala kama anatoka nje ya mji juu yangu. aliye na interest tufanye maongezi.www.jamiiforums.com
Mcheki huyo jamaa
0744966760 nitafte kama bado ujapata kaziHabari ya uzima.
Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM
Natengeneza pikipiki za aina zote
0744966760 nitafte kama bado ujapata kazi yaHabari ya uzima.
Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM
Natengeneza pikipiki za aina zote