Fundi rangi & design

ni vijidubwasha vidogo vidogo vyembemba kama kamasi za mtoto, hutumika kulainisha rangi... wengine wanaita Tina, wengine mjuba, wengine maiko, wengine Ibra, wengine kiristofa.
Ni material ya mawe madogo madogo ambayo yamedizainiwa kwa rangi tofaut tofaut Angalia picha nambaoja iyo ni drewa
 
Tunafanya skiming na finishing bora kabisa kwa kutumia pasi nzito ambazo hufanya skiming kunyooka bila kuweka mabonde mabonde pia tunapga drewa, conomixer kwa ustad wa hali ya juu, Hiz apa ni baadhi ya kazi zetu[emoji116][emoji116]

Tupgie 0656 535646.

0624 939367

 
Tunafanya skiming na finishing bora kabisa kwa kutumia pasi nzito ambazo hufanya skiming kunyooka bila kuweka mabonde mabonde pia tunapiga drewa, conomixer kwa ustadi wa hali ya juu, Hizi hapa ni baadhi ya kazi zetu[emoji116][emoji116]

Tupgie 0656 535646.

0624 939367
 
Tunafanya skiming na finishing bora kabisa kwa kutumia pasi nzito ambazo hufanya skiming kunyooka bila kuweka mabonde mabonde pia tunapiga drewa, conomixer kwa ustadi wa hali ya juu, Hizi hapa ni baadhi ya kazi zetu[emoji116][emoji116]

Tupgie 0656 535646.

0624 939367
 

Attachments

  • IMG_20210126_091852.jpg
    45.5 KB · Views: 2
Tunafanya skiming na finishing bora kabisa kwa kutumia pasi nzito ambazo hufanya skiming kunyooka bila kuweka mabonde mabonde pia tunapiga drewa, conomixer kwa ustadi wa hali ya juu pia Tunaweka #walpapar kwa bei nafuu Hizi hapa ni baadhi ya kazi zetu[emoji116][emoji116]

Tupgie 0656 535646.

0624 939367


 
Nzuri sana , zina life span ya muda gani? Zinataka maandalizi gani pale ukutani kabla ya zenyewe kubandikwa?
Mana nimeona sehemu ,jamaa alipomaliza kujenga tu ukuta wake kapiga tiles mmoja matata sana na imependeza balaa , hajaingia gharama ya lipu, plasta wala upuuzi mwingine .
 
Hiyo sio tiles ni wallpaper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…