Fundi Seremala mwenye uwezo wa kuezeka nyumba anapatikana

Fundi Seremala mwenye uwezo wa kuezeka nyumba anapatikana

Joined
Aug 12, 2026
Posts
47
Reaction score
27
📢 TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE 📢
🔨 MAFUNDI SELEMALA WENYE UZOEFU 🔨
Unahitaji mafundi selemala wa uhakika? Tupo tayari kukuhudumia kwa kazi bora na bei nafuu!
✅ HUDUMA TUNAZOTOA:
🏠 Kuezeka nyumba
🪑 Kutengeneza samani na vifaa mbalimbali vya selemala
🚪 Milango, madirisha na kabati
🔧 Kazi zote zinazofanywa na fundi selemala
👥 TUNAHUDUMIA:
• Kampuni na taasisi
• Wenye nyumba
• Watu binafsi
📍 Tunafika mikoa yote ya Tanzania!
Tunakuja ulipo, siku yoyote na wakati wowote.
💯 Kazi safi, bei rafiki, huduma ya haraka.
📞 PIGA / WHATSAPP:
0762 472 799
📧 BARUA PEPE:
[email protected]
Tutafute leo, tukujengee ndoto yako! 🤝
 
Nyie hamuibi, pia ungeandika tangazo lako kitalaamu sio Kila mtu anataka kupiga simu. Ungeweka viwango ama rate zako zikoje ,Kila kitu kiwe wazi , ama Kuna mwingine unampiga Bei kisa tu anazo hela nyingi, biashara ama kazi yako haitakiiwi iwe ya kificho kabisa.
 
Bati mje mnunue kwetu.
IMG-20260929-WA0003.jpg
 
Nyie hamuibi, pia ungeandika tangazo lako kitalaamu sio Kila mtu anataka kupiga simu. Ungeweka viwango ama rate zako zikoje ,Kila kitu kiwe wazi , ama Kuna mwingine unampiga Bei kisa tu anazo hela nyingi, biashara ama kazi yako haitakiiwi iwe ya kificho kabisa.
Kiongozi sisi tunafanya kazi ivyo unatuambia kama unakazi tunafika kukufanyia kazi sasa tunaibaje wakati tunakuja kwako kukufanyia kaz
 
📢 TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE 📢
🔨 MAFUNDI SELEMALA WENYE UZOEFU 🔨
Unahitaji mafundi selemala wa uhakika? Tupo tayari kukuhudumia kwa kazi bora na bei nafuu!
✅ HUDUMA TUNAZOTOA:
🏠 Kuezeka nyumba
🪑 Kutengeneza samani na vifaa mbalimbali vya selemala
🚪 Milango, madirisha na kabati
🔧 Kazi zote zinazofanywa na fundi selemala
👥 TUNAHUDUMIA:
• Kampuni na taasisi
• Wenye nyumba
• Watu binafsi
📍 Tunafika mikoa yote ya Tanzania!
Tunakuja ulipo, siku yoyote na wakati wowote.
💯 Kazi safi, bei rafiki, huduma ya haraka.
📞 PIGA / WHATSAPP:
0762 472 799
📧 BARUA PEPE:
[email protected]
Tutafute leo, tukujengee ndoto yako! 🤝
Ngoja nikuunganishe na fundi Maiko bahati nzuri amerudi leo toka Dubai.
 
Back
Top Bottom