Fundi Seremala mwenye uwezo wa kuezeka nyumba anapatikana

Joined
Aug 12, 2026
Posts
47
Reaction score
27
πŸ“’ TANGAZO KWA WATANZANIA WOTE πŸ“’
πŸ”¨ MAFUNDI SELEMALA WENYE UZOEFU πŸ”¨
Unahitaji mafundi selemala wa uhakika? Tupo tayari kukuhudumia kwa kazi bora na bei nafuu!
βœ… HUDUMA TUNAZOTOA:
🏠 Kuezeka nyumba
πŸͺ‘ Kutengeneza samani na vifaa mbalimbali vya selemala
πŸšͺ Milango, madirisha na kabati
πŸ”§ Kazi zote zinazofanywa na fundi selemala
πŸ‘₯ TUNAHUDUMIA:
β€’ Kampuni na taasisi
β€’ Wenye nyumba
β€’ Watu binafsi
πŸ“ Tunafika mikoa yote ya Tanzania!
Tunakuja ulipo, siku yoyote na wakati wowote.
πŸ’― Kazi safi, bei rafiki, huduma ya haraka.
πŸ“ž PIGA / WHATSAPP:
0762 472 799
πŸ“§ BARUA PEPE:
mustaphakomba2003@gmail.com
Tutafute leo, tukujengee ndoto yako! 🀝
 
Nyie hamuibi, pia ungeandika tangazo lako kitalaamu sio Kila mtu anataka kupiga simu. Ungeweka viwango ama rate zako zikoje ,Kila kitu kiwe wazi , ama Kuna mwingine unampiga Bei kisa tu anazo hela nyingi, biashara ama kazi yako haitakiiwi iwe ya kificho kabisa.
 
Kiongozi sisi tunafanya kazi ivyo unatuambia kama unakazi tunafika kukufanyia kazi sasa tunaibaje wakati tunakuja kwako kukufanyia kaz
 
Ngoja nikuunganishe na fundi Maiko bahati nzuri amerudi leo toka Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…