Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

Hii kazi ya lawama sana aise [emoji1]

Nimewakumbuka mafundi nguli wa miaka hiyo wakina yahaya pale azam mjini na wakina Chale pale PR camp kinondoni,kwenda polisi ilikuwa kawaida sana

Ova
 
Mteja hakuelewi kweli,kakupa 15 pro max yake inawaka uje umwambie ilizima na haiwaki hawezi kuelewa asee.

Mafundi wengi sio wakweli anaona kabisa simu haiwezi ila anaongea uongo anaweza.

Mafundi wengi kusema Hii kazi siiwezi wanaona kama kujishusha ndio mana wanaishia Polisi.
 
Sana mkuu,mteja anakuletea sim alafu inamzimukia fundi fundi kila akiamsha haiamki ,hapo mteja kama mtata lazima msumbuane

Ova
 
Back
Top Bottom