Mteja hakuelewi kweli,kakupa 15 pro max yake inawaka uje umwambie ilizima na haiwaki hawezi kuelewa asee.
Mafundi wengi sio wakweli anaona kabisa simu haiwezi ila anaongea uongo anaweza.
Mafundi wengi kusema Hii kazi siiwezi wanaona kama kujishusha ndio mana wanaishia Polisi.