Anahitaji solution ya kudumu sio hii mkuu je kama hatumii vodacom ina maana akasajili laini ya voda? Labda kama kuna Global ROM yake afanye kuiflash kama mdau alivyomshauri hapo juu...Tumia vodacom inakitu inaitwa voice over LTE utaweza piga simu kama kawaida ikiwa 4G.
Global ROM si mpaka iwepo hiyo ROM na hii ni kwa simu common. Au unachukua ROM compatible yeyote ya LG unaweka. Alafu nipe maelezo kuweka ROM ni kitu nilitaka nijifunze YouTube weekend hii.Piga global ROM kama itakubali, nimewai kutana na case sampuli ya hii japo sio exactly kama yako kwenye Sony flani hivi.
Unaingia google unaserach mfano, LG G8 stock ROM, hakuna stock ROM ambayo inakuja na network lock, so hapo utai download then ingia youtube, mara nyingi kila phone manufacturer hua ana flash tool yake, baada yapo unafuata maelekezo yao chap umemaliza.Global ROM si mpaka iwepo hiyo ROM na hii ni kwa simu common. Au unachukua ROM compatible yeyote ya LG unaweka. Alafu nipe maelezo kuweka ROM ni kitu nilitaka nijifunze YouTube weekend hii.
Usije ukachukua ROM yoyote ile hiyo simu utai soft brick, inaweza ikawa haiwaki na haipeleki hata charge, jitahidi unapo download ROM uweke model namba ya simu kabisa make unaweza kuta simu moja ina model tofauti tofauti.Global ROM si mpaka iwepo hiyo ROM na hii ni kwa simu common. Au unachukua ROM compatible yeyote ya LG unaweka. Alafu nipe maelezo kuweka ROM ni kitu nilitaka nijifunze YouTube weekend hii.
Asante mkuuUsije ukachukua ROM yoyote ile hiyo simu utai soft brick, inaweza ikawa haiwaki na haipeleki hata charge, jitahidi unapo download ROM uweke model namba ya simu kabisa make unaweza kuta simu moja ina model tofauti tofauti.