Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Shikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160.
Nimejaribu sana kwenye miracle ina maliza ila system inabaki kuwa vilevile yaani haiathiriki.