Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
kwa nini mkuu?Duh!
Akirudi hapa, ongeza pilipili kichaa kwenye list
Kama huna abc ni kazi ngumu.Hiyo list uliyompa inaonyesha sio kazi ndogo ya kufanya mwenyewe kama alivyodhania
Sp flash tool haiwezi kutoboa hapo, hiyo simu kama faili lake ni .PAC basi CPU yake itakua SPD. Ajaribu Miracle Thunder Crack.
Kwanini kwenye mtk unataka kutumia PAC file je una ufahamu kuhusu PAC file?, Eleza tatizo la simu yako, manyago shinde tukusaidieShikamoo fundi.
Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji.
Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware.
Na sio kutoa password wala ku Format.
Je ni programu gani naweza tumia kwenye kuwrite data system za mediateck (MTK) Tecno 301 na itel 2160.
Nimejaribu sana kwenye miracle ina maliza ila system inabaki kuwa vilevile yaani haiathiriki.
Iko ivi, nashida na programu ya kubadilisha system file ya Tecno 301,Kwanini kwenye mtk unataka kutumia PAC file je una ufahamu kuhusu PAC file?, Eleza tatizo la simu yako, manyago shinde tukusaidie
Anunue tools atafanikiwa zaidiHakuna msaada wa maana ulopata hapa bro.