Mtumishi Anyi
Member
- Sep 11, 2018
- 31
- 18
Nina deal saana na hardware maintenance mkuu, software ni kidogo saanaUna chimera tool? Software?
Sawa ndugu kazi njemanina deal saana na hardware maintenance mkuu, software ni kidogo saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaaa unataka kumchoma mwenzioUna chimera tool? Software?
Elf50 pamoja na ufundiTv yangu 32'' LED imezima backlight, kutengeneza itahitaji kiasi fundi?
250kkioo cha TV LG 32 bei gani sio smart
250kkioo cha samsung A the bei gani?
Eleza shida yako mkuu, mi nakuja tu, nina experience nahii kazi kwaio usiwe na wasDah! sasa utazungukia watu wangapi, ungetengeneza kwa njia ya mtandao hapo sawa, shida nin?? pango au?? Kutengeneza simu au tv sio kama kuchimba shimo la taka ujue? aya mimi niko Kiembe samaki utakuja?
Unamaanisha kubadili plate elfu25
Sio lazima kubadilisha, ni kuzifanyia uchunguz kwaza kama ni za kubadilisha au kurepair hizohizo, kwa hio gharamaUnamaanisha kubadili plate elfu25