Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

Fundi Simu, Radio na TV nipo Dar es Salaam

Je home thearter, nazo unatengeneza?ninayo ya panasonic , kuwaka ina waka ila haitoi sauti, kuna fundi alisema eti ic zake ni ngumu kuzitengeneza kwani ni computer programmed?!!
 
Je home thearter, nazo unatengeneza?ninayo ya panasonic , kuwaka ina waka ila haitoi sauti, kuna fundi alisema eti ic zake ni ngumu kuzitengeneza kwani ni computer programmed?!!
Ni aina gani? ukiwezekana nitumie details zake whatsapp maybe nawezapata Ic zake, 0766428475
 
Habari za kazi wakuu,

Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia nitakua nimekurahisishia kazi ya kupeleka kifaa chako kwa fundi, nitafute kwa namba: 0766428475

Natanguliza shukrani.

Ahsanteni
Ninaa inch 49 samsung
Ina mistar meus nauza kama spare
 
Niko na samsung a51 2020, iliingia maji, nilepeleka kwa fund anadai ac upande wa chaj imekufa tubadilishe. Changamoto ni kwa kuipata. Nisaidie napataje?
 
IMG_7003.jpg

Earphones wireless hizi hapa dukani ingia hapa whatsapp [emoji1485] KINGS STORE & SERVICES kwa 25,000/= tu pia Tunafanya delivery kwa Dar Es salaam 0627468298
 
Acha uzezeta,anzisha Uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwaiyo umeona neno uzezeta kulitumia ni sawa na utimamu wako???[emoji2955],, kwani ungesema kwa lugha ya kuelewesha nzur ungejisikiaje wewe!! Tumia akili! Inamaana hata kam mfano mtoto wako au ndugu yako , jiran yako, amekukosea unaanza kumtukana kumdhalilisha kwanza[emoji3166]
 
Acha uzezeta,anzisha Uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana hata ukimwona mke wa jamaa yako na bwana mwingine unaanza kukurupuka ukamfumanie Ww mwnyw badala ya huyo jamaa yako ndio akafumanie,, utakuja kupigwa cku’ aya uzi sio wangu sawa, je ww wako? Ndo mfano niliotoa hapo juu wa kufany kitu sio kaz yako hukupaswa kunijibu wewe’
 
Radio yangu Aiwa imekufa STK ics zote 2 stk490-110 na stk490-140 zitafute ukipata njoo unitengenezee..
 
Back
Top Bottom