Fundi Suzuki Carry

Fundi Suzuki Carry

sokka11

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
534
Reaction score
183
Kuna ndugu yangu ana haka kagari kanamsumbua kwenye bearing ya tairi la mbele kulia, kila akiweka mpya akitoka tu garage inaanza kupiga kelele na inakuwa imekufa, pia amejaribu kubadilisha hub yote lakini tatizo lipo palepale.
naomba ushauri wenu afanyeje????
 
huo ni ugonjwa wa carry kitaifa,,tulishahangaika nazo sie kwa carry yetu imeshindikana kabisaah tumeamua kuacha tu..
 
Back
Top Bottom