Fundi umeme nipo hapa kwa ajili ya Kazi

Fundi umeme nipo hapa kwa ajili ya Kazi

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
5,615
Reaction score
23,751
Fundi umeme wa uwakika mwenye uzoefu na kazi kwa kiwango nipo hapa boss wangu karibu sana unipe kazi. Nafanya kazi kwa gharama ya kawaida na kazi bora na uwaminifu mkubwa sana.

Kwanz nakusikiliza boss unaitaji nini kwenye jengo lako pia nakupa ushauri wa nini kifanyike.

Zingatio:
kama unaitaji kuweka baathi ya vitu mfano cctv camera, fire systerm, mifumo ya internet, mifumo ya tv na mengine basi ni vizuri kumfamisha fundi umeme kwa ajili ya kuandaa mifumo au kwa ushauri zaidi.mifumo mingi inandaliwa na fundi umeme

0749247920

20241203_101530.jpg
20250210_135431.jpg
 
HONGERA MKUU NA PIA KILA LA KHERI

Ila next ukiwa unaji market
Unapaswa kufanya yafuatayo

Punguza kusema unaweza kazi sana,
Kuonesha baadhi ya kazi zako,
Mawasiliano,
Mahalia ulipo,

Goodluck
 
ZINGATIO

KAMA UNAITAJI KUWEKA BAATHI YA VITU MFANO CCTV CAMERA, FIRE SYSTERM, MIFUMO YA INTERNET, MIFUMO YA TV NA MENGINE BASI NI VIZURI KUMFAMISHA FUNDI UMEME KWA AJILI YA KUANDAA MIFUMO AU KWA USHAURI ZAIDI.MIFUMO MINGI INANDALIWA NA FUNDI UMEME.
0749247920
 
HONGERA MKUU NA PIA KILA LA KHERI

Ila next ukiwa unaji market
Unapaswa kufanya yafuatayo

Punguza kusema unaweza kazi sana,
Kuonesha baadhi ya kazi zako,
Mawasiliano,
Mahalia ulipo,

Goodluck
Mkuu ukisema unajifunza kazi hakuna atakayekuamini humu.hata wale niliofanya nao kazi humu nao swali la kwanza lilikuwa ilo ilo
 
Ongezea nyama tangazo lishibe. Pia usisahau kutuwekea tips kila siku.
 
Swali, taa ya ndani ukutani inatakiwa iwekwe kimo gani kutoka sakafuni?.
 
Back
Top Bottom