mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Mkuu ukisema unajifunza kazi hakuna atakayekuamini humu.hata wale niliofanya nao kazi humu nao swali la kwanza lilikuwa ilo iloHONGERA MKUU NA PIA KILA LA KHERI
Ila next ukiwa unaji market
Unapaswa kufanya yafuatayo
Punguza kusema unaweza kazi sana,
Kuonesha baadhi ya kazi zako,
Mawasiliano,
Mahalia ulipo,
Goodluck
Yah mimi nimepata kazi mpaka mkoani kwa mitandao tuKila la kheri mkuu, mitandao tukiitumia vizuri ni platforms za connection l