Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

Fundi urembo wa nguzo anahitajika kwa bei nafuu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kazi ya kuweka urembo kwenye nguzo 6, pamoja na mkanda wa slab wenye mzunguko wa mita 50.

Hela iko mfuko wa shati, laki 4; haiongezeki ila inaweza kupungua.
 
Fundi Urembo popote nafika !

0789005562View attachment 2362355
IMG_20220920_082154_085.jpg
View attachment 2362356
IMG_20220920_082154_104.jpg
 
Hizi kazi huwa zinachukua muda mrefu na utulivu mkubwa kuumba maumbo mbalimbali. Hivyo kwa ukubwa wa kazi yako uliouelezea, sina hakika kama laki 4 ndio gharama yake
 
OFFER IMEKUFIKIA MKAZI WA TABORA NA MAENEO YA JIRANI! IGUNGA TUMEWEKA KAMBI...

House FinishinG

Plasta Ya Kiwango

Urembo wa kisasa

SkimminG na RanGi

[emoji338] 0789005562

Enewei! Tuyaache hayo!
Bei za urembo ni hizi hapa [emoji1484][emoji1484]

Dirisha Tsh 40,000

Nguzo Tsh 40,000

Kona Tsh 40,000

Skating Tsh 200,000

Plasta tutapatana tukifika saiti!

Simu : 0789005562

What'sApp link.... [emoji1484][emoji1484]

Wa.me/255789005562

#ujenzi #ujenzizone #ujenziwanyumbaboratz #ujenzizone #ujenzizone_tz #finishing #TANZANIA #tanzania #FINISHING
status_me_status_IMG-20221030-WA0089.jpg
status_me_status_IMG-20221030-WA0091.jpg
status_me_status_IMG-20221030-WA0090.jpg
 
Gharama ipoje nijibu dm urembo huo wa dirishan

Back
Top Bottom