Fundi wa AC anahitajika kwa gari aina ya Toyota Brevis Ai 250

Fundi wa AC anahitajika kwa gari aina ya Toyota Brevis Ai 250

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu habarini za majukumu!
Naomba msaada wenu, natafuta Fundi au garage nzuri yenye mafundi wa AC za hili gari, kwani AC inasumbua hivyo ningependa nikaipeleka kwa watu husika wakalitatua tatizo. Natanguliza shukrani.
 
pia unaweza eleza shida nini nikakusaidia
 
Ni pm namba yako tuwasiliane kama waweza kunisaidia mkuu
 
Back
Top Bottom