banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Oct 15, 2014 #1 Wakuu habarini za majukumu! Naomba msaada wenu, natafuta Fundi au garage nzuri yenye mafundi wa AC za hili gari, kwani AC inasumbua hivyo ningependa nikaipeleka kwa watu husika wakalitatua tatizo. Natanguliza shukrani.
Wakuu habarini za majukumu! Naomba msaada wenu, natafuta Fundi au garage nzuri yenye mafundi wa AC za hili gari, kwani AC inasumbua hivyo ningependa nikaipeleka kwa watu husika wakalitatua tatizo. Natanguliza shukrani.
italy JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 210 Reaction score 131 Oct 16, 2014 #3 pia unaweza eleza shida nini nikakusaidia
banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Oct 20, 2014 Thread starter #4 Nipo Dar mkuu
banalunda JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 231 Reaction score 67 Oct 20, 2014 Thread starter #5 Ni pm namba yako tuwasiliane kama waweza kunisaidia mkuu