Fundi wa harrier anatafutwa.

Fundi wa harrier anatafutwa.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Habari wakuu natafuta Fundi gari,
Gari yangu ni harrier inatatizo kwenye mfumo wa oil,mwanzoni oil ilikua haipandi kabisa na taa kwenye dashboard inawaka.ikawa inapiga kelele,nilibadilisha oilpump ila naona tatizo liko pale pale,huyu Fundi aliye badilisha oil pump,naona kama anabahatisha,kama kunamtu atakuwa anamjua Fundi mzuri au kama kama kuna Fundi anicheck pm.
Asante.
 
Ok,unasema umebadilisha oil pump na bado hali iko palepale?
 
Kuna jamaa yangu yupo ilala mtaa wa Songea Anaitwa Sethi ni fundi mzuri
 
Habari wakuu natafuta Fundi gari,
Gari yangu ni harrier inatatizo kwenye mfumo wa oil,mwanzoni oil ilikua haipandi kabisa na taa kwenye dashboard inawaka.ikawa inapiga kelele,nilibadilisha oilpump ila naona tatizo liko pale pale,huyu Fundi aliye badilisha oil pump,naona kama anabahatisha,kama kunamtu atakuwa anamjua Fundi mzuri au kama kama kuna Fundi anicheck pm.
Asante.
Mkuu hiyo shida SIO oil pump yenye shida. Inaelekea ulizidisha mileage za service (kuchange oil) kwahiyo kuna uchafu (chenga chenga za vyuma vilivyosagika) zinaziba kwenye strainer ya sump chini pale. Kwahiyo gari inavyo-run ile pressure inakua ndogo kwakua iyo chujio (strainer) imeziba. Hivyo oil aifiki juu. So gari lako linadhana Oil Level iko below average.

Kuweka story ndefu iwe fupi, nenda kwa fundi mwambie aangalie oil sump ataisafisha hiyo strainer na watatumia dawa flani ya kusafisha engine inauzwa elfu 10.

So gharama zako zitakua hivi:

1. Dawa ya kusafisha Oil 10,000
2. Kubadirisha Oil 65-80,000
3. Ufundi itakua kama 20,000
 
Asante sana mkuu,ni kweli kabisa nikizidisha maiage tena sana na hivyo vyuma ni kweli walivyofungua sump walivikuta umenipawanga sana naahukuru sana maana hapa Fundi alikua anasema inabidi kushusha engine tena...nashukuru sana!!
 
Pamoja. Sasa this time jitahidi uwahi kabla ya kama km800 hivi.
 
Back
Top Bottom