Fundi wa I.T

Fundi wa I.T

Lesa360

Member
Joined
Jun 13, 2020
Posts
22
Reaction score
38
Nafanya ufundi wa vitu vifuatavyo:-
1. Nafanya LAN ya uhakika na kufunga access point( wireless)
2. Nafanya installation ya cctv cameras kuanzia maofisini, dukani na hata majumbani nnazo cctv za bulb ambazo hazijulikani hvo husaidia kuonesha yanayoendelea nyumbani kipindi wazazi hawapo ili kuepusha ukatili wa wafanyakazi wa ndani kwa watoto wetu tuwapo makazini.
3. Nafanya design ya logo mbalimbali na stickers, banners, fliers, brochures na hata 3D, bznes cards, ID na vingine vingi
4. Natengeneza website kwa matumizi mbalimbali kwa gharama nafuu
5. Nafanya installation ya fensi ya umeme kwa ajili ya usalama wa majumbani
6. Nafunga A.C za majumbani na kuzirepair
Kwa mawasiliano zaidi nitumie sms au kupiga kwa namba 0620113688
Karibuni sana.
 
Hizo cctv camera za siri zikoje hizo, bei gani plus types

zinafanyeje kazi
 
Hizo cctv camera za siri zikoje hizo, bei gani plus types

zinafanyeje kazi
Ziko poa sana unatumia simu yako ya mkononi au monitor iliyoko chumbani kwako hvo ukirudi kazini unaweza ziangalia video zote zilizorecordiwa kutwa nzima au kipindi haupo ila vingevyo unatumia simu yako japo bando linatumika so chaguzi ni zako
 
Inategemea unataka ngapi mkuu? Ila kuanzia 250,000 unafungiwa mkuu
 
Back
Top Bottom