Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

Dodo86

Senior Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
114
Reaction score
95
Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja upande mwingine anitengenezee master jiko na sebule kama itawezekana. Ahsante. Eneo liko Dar es salaam mbezi
 
Kuna nyumba za zamani maeneo ya Kinondoni zinabadilishwa kuwa za kisasa, zinavutia sana. Kweli mchawi pesa.
 
Mkuu tuwasiliane, tukufanyie renovation kali kulingana na soko la sasa la nyumba, call/whatsapp 0715477041
 
Back
Top Bottom