Fundi wa kutengeneza banda la kuku anahitajika haraka sana

Fundi wa kutengeneza banda la kuku anahitajika haraka sana

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
296
Reaction score
794
Wakuu kazi nilizozitangaza kwa vijana wasiokuwa na elimu kubwa imeanza baada ya kumchukua kijana kutoka kijijini, sasa naomba mwenye ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku wa nyama na mayai aniPM haraka nimpe kazi hiyo.

Aksanteni
 
halafu nimeku pm bila kuuliza hili jambo ,banda unatka la kujenga kwa mbao,matofali,aluminium,au mabox tujuze kwani mafundi tupo wengi na utaalam tofauti
 
Wakuu kazi nilizozitangaza kwa vijana wasiokuwa na elimu kubwa imeanza baada ya kumchukua kijana kutoka kijijini, sasa naomba mwenye ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku wa nyama na mayai aniPM haraka nimpe kazi hiyo.

Aksanteni
Safi sana mkuu,huu ndio mpango mzima,maana naona mpango wa awali haukufanikiwa wa vijana wa mjini wanajifanya wala bata.
Haya anza na sie utupe feedback mkuu
 
Back
Top Bottom