Fundi wa Refrigirated Truck

Fundi wa Refrigirated Truck

blakafro

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
152
Reaction score
104
Wakuu kwema?

Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake.

Ahsanteni.
 
Wakuu ina maana hatuna mafundi humu.
 
Wakuu kama kuna fundi anaeweza hiyo kazi anicheki.
 
Wakuu kwema?

Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake.

Ahsanteni.
Kwa uelewa wangu, refrigerator na AC zina mfumo sawa wa kupoza, tofauti ni kiasi cha ubaridi tu, hivyo hata fundi wa AC anaweza kukusaidia kama shida ni upande wa refrigerator
 
Back
Top Bottom