Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uelewa wangu, refrigerator na AC zina mfumo sawa wa kupoza, tofauti ni kiasi cha ubaridi tu, hivyo hata fundi wa AC anaweza kukusaidia kama shida ni upande wa refrigeratorWakuu kwema?
Anahitajika fundi wa refrigirated truck gari ipo Mabibo Dar es salaam. Kama kuna fundi humu anicheki PM au la kama kuna member anajuana na fundi yoyote mzuri kwa kazi hizo naomba anisaidie namba yake.
Ahsanteni.