Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

Fundi wa Skimming/Rangi anatafuta kazi

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,100
Reaction score
1,363
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza.

Karibuni sana..
 
Back
Top Bottom