FirstClass JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 1,100 Reaction score 1,363 Oct 29, 2023 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, fundi mbobezi wa hizi kazi nipo Daresalama na ninahitaji kazi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya na kusimamia kazi za serikali, hivyo ubora wa kazi yako ni kipaumbele cha kwanza. Karibuni sana..