Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Una maanisha nini?Picha ya spiral stair cases pliz
Uzi bila picha haunogiUna maanisha nini?
Weka picha ya hizo ngaziUna maanisha nini?
Nafikiri ni ngazi za hivi dearPicha ya spiral stair cases pliz
Fundi welding yupo vizur Sana, izo spiral staircase anaziweza vizur. Ni mzoefu wa mda mrefu mcheki Kwa namba 0718268631Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase.
Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo.
Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu.
Kama yupo fundi ambaye ni mzoefu ani PM. Narudia nahitaji mzoefu wa hizo Spiral staircase kwani si kila welder anauwezo wa kutengeneza hizo.