Fundisho kwa walimu

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
Serikali ya CCM haiwezi kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza kumuongeza Mwl wa Tanzania sio mshahara bali ni kubadilisha rangi ya T-shirt za Mei-Mosi. "UNGANA NA WALIMU WENGINE KULAANI DHURUMA NA UONEVU HUU KWA WALIMU WANYONGE WA TAIFA HILI, ambao wamechoshwa na viongozi & serikali uchwara wa CCM. Lazima ing'oke kwenye chagzi zijazo kwa laana hii kubwa
 
Hakika nimeumizwa sana na kitendo hiki......nasema mwalim yeyote ambaye bado yupp CCM alaaniwe maisha yake yote....
 
Kweli. Mkuu wa kaya alisikika mei mosi akasema mwaka huu nyongeza itakuwa nzuri jama elfu ishirini ndio kubwa...hakiaka sina hamu na hii nchi..kwann wanatudharau kiasi hiki walim jaman.
 
CCM inatesa walimu miaka 4, mwaka 5 inawatekenya wakicheka na ushindi wanatoa!
Walimu amkeni bana khaaa!
 
Ngoja mkome..!!
Si huwa mnaisaidia kuiba kura kwenye chaguzi . Na badooooo
 
Naona kwa mbaali sasa walimu wanaanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono.
 
Ngojeni kwanza na sisi ambao hatuja pata tupate kwanza ndio muanze maandamano
 
سياتخحعقلزضص
 
Mi naona kabla ya kuling'oa liccm tuanzie ndani yaan li cwt tulivunje kwanza them li mama lake hawa jamaa toka waanzishwe walim hatufikii malengo wanatuibia kw kulipana mishahar nono ambay haina TGTS inayoelewek mf ktb wilaya 1 milion kw kz gan jaman
Wana kaa na licham la kijan wanapozw tunaumia cc mbali na kutukana ss tulitoen
 

Mkuu sasa ungefunguka kabisa tuchague chama gani usije ukatuaminisha tuichague ACT!!!
 

Kama ww ni mwalimu na bado unalalamika na ujachukua hatua utakuwa unatukana matusi makubwa muda wako wa kukalisha ------ chini katk viti vya chuo ukisoma na elimu yako ya diploma,degree,masters,postgraduate itakuwa haijakusaidia katu u bado mjinga japo ujinga hauishi lakn wa kwako utakuwa mkubwa sana tena sana: USHAURI: Angalia unafidiaje gap la mshahara unaohitaji si kwa kuiba bali kwa fikira pevu na kuthubutu kujaribu.Walimu tupunguzeni uoga wa mikono nyuma na tujiwekee malengo yetu(Goal setting) kitu ambacho katka somo la psychology tulikisoma jamani. Tatz lililokubwa ni labda walimu wengi pass zao haziwafanyi kufanya jambo lingine zaidi ya waliko lakn elimu sio biashara na biashara sio elimu tutafuteni namna ya kufidia pia ile PAYEE na solution ni Investment yoyote na tuacheni kulalamika tuchukue maamuzi na maneno yasiwe mengi tuchukue maamuzi sasa: Maamuzi yasiwe ya kuacha kufundisha hapana maana kufanya hvy nikuendelea kufanya watoto wetu kuendelea kunyanyasika na mtandao huu wakurithishana madaraka na kazi tuwape elimu watoto kubwa na kuwaelimisha ubaya wa CCM na uzuri wake pia: Mwisho msahau kuwa mtaiangusha CCM katika usimamizi wa kura walishashtuka na 2015 watachagua watu au makada wa CCM wakt mnafikiri haya mjue kuwa walishatazama pakubwa ila la msingi ni kupeana elimu ya kutosha mkiajua kuwa walimu kwa uwezo wao na vyeti vyao tayari rohoni mlishajigawa na nirahs kutawaliwa . Mi Lowassa akipita kwa mara ya kwanza ntawapa kura na kumpigia debe sana kwa gharama pia maana alithubutu
 
Nyongeza ya mishahara na harakati za kisiasa! ni ufinyu wa mawazo. Walimu wa jinga hupambana na ccm lkn walimu wa elevu watapambana na serikali. Je kama ukawa wikishika dola ktk nchi masikini kama hii mtapambana na naniiii? Think big!
 
hatutaki kujificha mvua chini ya jani lamchicha!adui wetu niccm kwani yeye ndie aliyeunda serikali!unafikiri kwanini raisi zuma alizomewa kipindi chamsiba wamadiba SA?think big 2!!!!wanayoitetea ccm niwenye maslahi nayo tu.
 
Mimi ni mwalimu ninae ona mbali nilijua toka mwanzo hapo hamanaga kitu. Nilishangaa kunamijitu ilijiita eti walimu na kwamba wanamsupot makamba kuwa rais kupitia ccm. Hawa wakionekana fawa yao ni kuwachapa fimbo tu
 
Ngoja mkome..!!
Si huwa mnaisaidia kuiba kura kwenye chaguzi . Na badooooo

ulichoongea si sahihi..sis walimu kwa sasa tunaandaa vijana wa kuiondoa ccm madarakn c kwa hayo uongeayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…