Fundisho kwa walimu

Fundisho kwa walimu

Walimu wa TZ tuache woga na kulalamika. Cha msingi ni kuchukua hatua madhubuti katika kukabiliana na matatizo yanayotukabili. Ila binafsi ninakiona Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuwa ni sehemu ya haya machungu yanayompata mwalimu kwa sasa. Hiki chama hakina msaada kwa walimu kwani kimekuwa ni chama cha siasa. Si mnakumbuka ule waraka ambao ulitawanya na CWT kwa walimu juu ya mishahara mipya kuanzia julai 2014,mshahara ambao walidai ndiyo makubaliano ya serikali na CWT? Kwanini walisambaza waraka ule kwa walimu haraka vile kabla ya makubaliano na Maccm wenzao?
 
Nyinyi mko wengi but very week in taking action that is an introduction na bado baada ya 2015 ndo mtaelewa
 
samahan walimu wenzangu,hivi tumewezaje kuwatoa wanafunzi ujinga ikiwa ss wenyewe bado tuwajinga? haiwezekan tuishi kwa shida kama wakimbizi.mpango mzima 2015 tuoneshe kuwa uwingi wetu unawezakutufanya kuamua tunalotaka.
 
Wewe usichanganye habari hapa,tangu lini CCM inahusika kutengeneza tshirt za Mei Mosi kwa walimu?
Serikali ya CCM haiwezi
kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii
tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza
kumuongeza Mwl wa Tanzania sio mshahara bali ni kubadilisha rangi ya
T-shirt za Mei-Mosi. "UNGANA NA WALIMU WENGINE KULAANI DHURUMA NA UONEVU
HUU KWA WALIMU WANYONGE WA TAIFA HILI, ambao wamechoshwa na viongozi
& serikali uchwara wa CCM. Lazima ing'oke kwenye chagzi zijazo kwa
laana hii kubwa
 
Nyongeza ya mishahara na harakati za kisiasa! ni ufinyu wa mawazo. Walimu wa jinga hupambana na ccm lkn walimu wa elevu watapambana na serikali. Je kama ukawa wikishika dola ktk nchi masikini kama hii mtapambana na naniiii? Think big!
Mkuu hivi serikali inaundwa na akina nani?
 
Back
Top Bottom