Aisee hivi sisi tusiopata hadi sasa kuna nini maana sielewi
سياتخحعقلزضص
ulichoongea si sahihi..sis walimu kwa sasa tunaandaa vijana wa kuiondoa ccm madarakn c kwa hayo uongeayo...
Serikali ya CCM haiwezi
kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii
tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza
kumuongeza Mwl wa Tanzania sio mshahara bali ni kubadilisha rangi ya
T-shirt za Mei-Mosi. "UNGANA NA WALIMU WENGINE KULAANI DHURUMA NA UONEVU
HUU KWA WALIMU WANYONGE WA TAIFA HILI, ambao wamechoshwa na viongozi
& serikali uchwara wa CCM. Lazima ing'oke kwenye chagzi zijazo kwa
laana hii kubwa
Mkuu hivi serikali inaundwa na akina nani?Nyongeza ya mishahara na harakati za kisiasa! ni ufinyu wa mawazo. Walimu wa jinga hupambana na ccm lkn walimu wa elevu watapambana na serikali. Je kama ukawa wikishika dola ktk nchi masikini kama hii mtapambana na naniiii? Think big!