Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazazi waleeni watoto wenu katika njia sahihi.
Miradhi bora kwa mtoto ni maarifa mema na si hulka za kijinga na angamizi.
Mama msaidie huyo binti. Kuolewa siyo mtaji wa maisha. Angalua siyo leo. Shule ilimshinda pengine ajili ya umal.aya ma kichwni haizmo. Badala ya kumwongoza namna gani atengeneze maisha, unazidi kumsindikiza katika mambo ya kijinga. Aoelewe na mzungu waafrika hawafai. yeye anafaa?
Kinachon mponza mwanao ni tabia zake chafu, upumbvu, unafiki na uwongo.
Mtu anayesema hana imani katika ndoa, hajui thamani ya ndoa na ndiyo sababu hawezi kuheshimu mahusiano ya watu kuishi kama mke n amme. Na kwa sababu hiyo kwenda kujitumbukiza kwa Dai wakati anajua anafamilia yake tayari na kisha kusababisha mitafaruku na hadi kuzaa mtoto na mtu mwenye failia yake, bila shaka ni uthibitisho wa matamshi yake hapo juu.
Shida ya huyu inaonekana ni kutafuta vyanzo vya mapato baada ya kujua hana uwezo wa kujisimamia wala kujiendeleza.
Mjukuu wangu huyu na genge la mashangingi wenzake kiila siku anajisifia "Mimi kijana, mimi.mzuri", Ni kweli ni kijana kwa umri, lakini ameshajiangalia usoni anaonekanaje akikaa na hao anaowaona ni wazee? Hivi nani alimshauri kwamba yeye hakui? Ujana bila akili na maarifa vinakusaidia nini? Hivi huyu anaju akweli maana na faida ya ujana? Bila shaka anazeeka haraka na mwisho wa iksu hataona nni alikfanya katika ujana wake zaidi ya kuzaa watoto (aombe mungu wawe na akili) akidhani ni vitega uchumi.
Uzuri wa mtu yeyote uko katika macho ya wakutazamaji na si yeye kujisifu. Huyu binti anaposema yeye ni mzuri, ameliangalia hilo domo lake lakini? Hayo mashavu kama majipu nundu ameyaona lakini? Mnaomshauri mnamwambia vile uso unavyowahi kumshuka? Akifika miaka 35 atakuwa na hali gani?
Mwambieni awe na focus katika maisha. Anavyojivunia havidumu.
Ninatafakari sana anavyovuruga familia ya Dai na bila haya anasema "Yeye alimjua Dai zamani na hajaingilia uhusiano wa Zari na Dai. Hivi huu ni ujinga wa kudhaniwatu wote niwajinga ama ni nini?
Alikuwa naye kwa miaka 9, halafu tena ana mtoto sijui wa miaka 5 au around hapo na Maj. Hivi anataka kusema alikuwa na mitala ya wanaume?
Huyu binti kama mama yake na wapambe wake hawatamfundisha akaendelea na upumbvu huu, bila shaka jina lake aliloitwa litakuwa lake maisha yote. Dai alisemwita "Shetani, alimwingilia", na Juzi dada wa Dai tena kasema "Shetani huingia", akim refer yeye.
Na ajue mtindo wa kubeba mimba ili kumbana mwanaume awe na wewe ulishapitwa na wakati. Na huyu binti hatafuti kuolewa bali anatafuta mwamamme mwenye pesa ili amhudumie. Hakuna furaha katika mahusiano bila mapenzi.
Pamoja na matatizo ya Dai ambayo nayo ni makubwa sana tu, lakini huyu binti hafaia kuwa mke wa mtu yeyote. Matusi aliyoyasema hapa, yamehitimisha kwamba yeye ni mtu wa aina gani na wanaomsapoti ni watu wa aina gani. Wale wenye akili kaeni mbali na huyu binti pamoja na timu yake kwa sababu ni mharibifu tu. Kazi yake ni uharibifu.
Kama kuna mtu anayemheshimu karibu yake, naomba kama mnamtakia mema, acheni kumshabikia katika uovu kwa kkuwa mnampoteza.
Kwa mambo haya, ndiyo sababu wanasema huyu binti siyo mtu.
Anasingizia kuzaa na dai ndiyo sababu ya kumganda Dai. Eti waheshimu Damu ya Dai. Kuheshimu damu ya Dai ndio kukubaliana na ufusika wa mama ya ke. Eli analinda damu, kulinda damu ndiyo kuendeleza mahusiano ya ngono kiasi cha kulazimisha hata unapokataliwa?
Huyu binti kujilazimisha kwenye mahusiano kwa kisingizio cha mtoto ndiko kunamdhalilisha. Eti Dai mzazi wa mwenzako, mzazi mwenzako ndiyo kulaimizha mahusi ano wakati hutakiwi? Kumlinda mtoto eti akikua asiyaone haya, unamaanisha asione kama ulikuwa unamtumia kamake uchumi? Asione kama ulikuwa hutakiwi na kwamba ulijirahisi na kujilazimisha kwa baba yake? Asione kipi wakati wewe ndiye unamwaga matusi kama haya ambayo mtun yeyote mwenye akili timamu hawezi yazungumza? Huna sifa ya kulea wala kulinda mtoto kwa kuwa wewe mwenyewe hujielwi, akili zako pungufu na huna maadili. No wonder Dai ameshaona anapotea kwa kuwa huna uwezo wa kulea familia kaitka maadili sahihi kwa kuwa na wewe huna unachokijua juu ya tabia njema wala maadili.
Huyu hapa kamaliza yote. Hufai wewe mtoto. TAfuta njia nyingine ya kuendesha maisha. Kulazimisha wanaume wenye pesa wakuhifadhi kwa gharama ya watoto, hakukusaidii.
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Daimond angekua ndugu yao wangekubali amoe Zari?kuna swali umeliuliza hapo ila sijui kama ataweza kukujibu asilani
hebu nitajie ilo swali nijue kama kweli tupo pamoja
100%ana chuki za waziwazi kwa huyu binti haoni juhudi zake anazozifanya hata kidogo!maelezo meeeengi yameegemea kwenye chuki zako tu kwa huyo binti hakuna la maana hata moja
akikujibu nitag[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Daimond angekua ndugu yao wangekubali ampe Zari?
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]namsubiriaakikujibu nitag
husda100%ana chuki za waziwazi kwa huyu binti haoni juhudi zake anazozifanya hata kidogo!
Watanzani wengi ni wanaafiki tu!
[emoji3][emoji3][emoji3]husda ni ugonjwa tena sanahusda
sitasahau ni hawahawa wabongo waliotaka mondi amuache zari amchukue hamisa kisa mtoto mbichi na wanaendana maana yule mama haendani nae hata kidogo
leo wamegeuka wanataka mondi amrudie zari
hebu waulize wanataka amrudie zari kisa nini?????
na huo mnato huko chini ndio kabisaaaaaa jamaa kachanganyikiwa[emoji3][emoji3][emoji3]husda ni ugonjwa tena sana
Ishu walijua hamisa atapita kama wengine wamekuta mtoto kutoka uswazi kamfanyia ukweli na mimba juu ...hapo ndo walipochanganyikiwa vibaya mnoo!
Wengi kimewauma mnooo..nakuambia ndugu yangu wanajua dogo kashatoboa huo ndo ukweli wenyewe!
Nna hakika angezaa na mtu wa taifa lolote lingine wasingechukia wangemsapoti!
Wabongo husdaaaa!
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]loooh!ze dudu!bwanaaa!mnato ule ule yaani!na huo mnato huko chini ndio kabisaaaaaa jamaa kachanganyikiwa
mademu wembamba wanaojitunza acha kabisa
Anamchukiaga sana hamisa utakuta alitoswamaelezo meeeengi yameegemea kwenye chuki zako tu kwa huyo binti hakuna la maana hata moja
Wajambe kabisa[emoji16][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Ndio keshakuwa mama deee ,daimond kila kitu anatoa hamtaki kufeni
Anamchukiaga sana hamisa utakuta alitoswa
maelezo meeeengi yameegemea kwenye chuki zako tu kwa huyo binti hakuna la maana hata moja
Huyu atakuwa alijinasisha mimba makusudi ili awe na dai, akaona dai anaendelea kuwa na zari, akatumia kila njia zari ajue dai kazaa nae ndo picha na videoclips alizokuwa anatoa mitandaoni. Basi zari kamwachia mwanaume, kaona lengo la mwanaume si ndoa bali kupunguza shida zake za kimwili, kaenda katifua na waliotulia aka dada na mama wa dai, sasa ana play victim na kujidai mtoto, kuna watoto wawili South Africa uliotumia nguvu kuvunja mahusiano ya baba na mama yao dada hamisa, ulikuwa unategemea nini? Wahenga walisema ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji! aibu diamond hajawahi kuku claim in public hata kwa bahati mbaya, akina penny wema jokate zari wote were publicly claimed, wewe na huyo mwanao wote jamaa kawagomea. Nenda kwa huyo mzungu basi na kingereza chako kilichovunjika[emoji3][emoji3][emoji3]
NB: usini quote kama unamtetea huyu mjinga, I have no MERCY FOR HOME WRECKERS ,