Fundisho kwa wenye akili kama hizi

Duuh ilibiidii niangalie ID yko tena aisee japo una umeandika sense sn huyu dada nilikuwa namuonaga wa maana ila baada ya kukaa karibu yke ndipo nika gundua ni kichwa maji
 
maelezo meeeengi yameegemea kwenye chuki zako tu kwa huyo binti hakuna la maana hata moja
 
kuna swali umeliuliza hapo ila sijui kama ataweza kukujibu asilani
hebu nitajie ilo swali nijue kama kweli tupo pamoja
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Daimond angekua ndugu yao wangekubali amoe Zari?
 
maelezo meeeengi yameegemea kwenye chuki zako tu kwa huyo binti hakuna la maana hata moja
100%ana chuki za waziwazi kwa huyu binti haoni juhudi zake anazozifanya hata kidogo!

Watanzani wengi ni wanaafiki tu!
 
100%ana chuki za waziwazi kwa huyu binti haoni juhudi zake anazozifanya hata kidogo!

Watanzani wengi ni wanaafiki tu!
husda
sitasahau ni hawahawa wabongo waliotaka mondi amuache zari amchukue hamisa kisa mtoto mbichi na wanaendana maana yule mama haendani nae hata kidogo
leo wamegeuka wanataka mondi amrudie zari
hebu waulize wanataka amrudie zari kisa nini?????
 
husda
sitasahau ni hawahawa wabongo waliotaka mondi amuache zari amchukue hamisa kisa mtoto mbichi na wanaendana maana yule mama haendani nae hata kidogo
leo wamegeuka wanataka mondi amrudie zari
hebu waulize wanataka amrudie zari kisa nini?????
[emoji3][emoji3][emoji3]husda ni ugonjwa tena sana

Ishu walijua hamisa atapita kama wengine wamekuta mtoto kutoka uswazi kamfanyia ukweli na mimba juu ...hapo ndo walipochanganyikiwa vibaya mnoo!

Wengi kimewauma mnooo..nakuambia ndugu yangu wanajua dogo kashatoboa huo ndo ukweli wenyewe!

Nna hakika angezaa na mtu wa taifa lolote lingine wasingechukia wangemsapoti!

Wabongo husdaaaa!
 
na huo mnato huko chini ndio kabisaaaaaa jamaa kachanganyikiwa
mademu wembamba wanaojitunza acha kabisa
 
na huo mnato huko chini ndio kabisaaaaaa jamaa kachanganyikiwa
mademu wembamba wanaojitunza acha kabisa
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]loooh!ze dudu!bwanaaa!mnato ule ule yaani!
 
Wamegane wengine nije kubishana mimi? kwakweli siwezi
 
Huyu atakuwa alijinasisha mimba makusudi ili awe na dai, akaona dai anaendelea kuwa na zari, akatumia kila njia zari ajue dai kazaa nae ndo picha na videoclips alizokuwa anatoa mitandaoni. Basi zari kamwachia mwanaume, kaona lengo la mwanaume si ndoa bali kupunguza shida zake za kimwili, kaenda katifua na waliotulia aka dada na mama wa dai, sasa ana play victim na kujidai mtoto, kuna watoto wawili South Africa uliotumia nguvu kuvunja mahusiano ya baba na mama yao dada hamisa, ulikuwa unategemea nini? Wahenga walisema ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji! aibu diamond hajawahi kuku claim in public hata kwa bahati mbaya, akina penny wema jokate zari wote were publicly claimed, wewe na huyo mwanao wote jamaa kawagomea. Nenda kwa huyo mzungu basi na kingereza chako kilichovunjika[emoji3][emoji3][emoji3]
NB: usini quote kama unamtetea huyu mjinga, I have no MERCY FOR HOME WRECKERS ,
 



Hiki hakina chochote. Na mara zote kimekuwa kikifanya mambo ya kukera hadharani ili kujenga fitina kati ya Zari akasirike, amzire Mondi na Mondi akiwa desperate, chenyewe kijifanye kuwa suluhisho la upweke wa Mondi. Hivi wewe kisichana unaakili kweli? Kumkamata mtu kwa na fitina, huku ukijua hkutaki na anakuonea haya hata kukusema hadharani siyo tabia ya kich.awi hiyo?

Hakina akili hiki na kinaweza hata kutoa ro.oho ya mtu kwa ujinga, nuksi na ushagishagi. Mwangalieni sana huyu binti. Tabia zake zina ukakasi. Huwezi kulazimisha bidhaa yako kwa mtu ili akutunze hata kama haina soko tena. Anajizeesha bure.

Honestly kwa akili za hiki kimama, zilivyo ya kiwango, hakina ukelewa. Kinachotaka ni kupata fedha kwa mondi na kumfitinisha na watu wa misha yake tu kwa sababu kinajua hakuna mme mwenye akili zake atadmu nacho wakati hana biaskara nyngine ya kumfanya aishi zaidi ya wanaume.

Kaeni mbali na huyu mama. Anaweza kuwasababishia madhara makubwa sana. ushagishagi aliuanza mdogo na kakulia humo humo hivyo si rahisi kubadiliska. Ndiyo maisha yake. Wanauem jihadharini na huu mtego.


Hakuna mwanamme yeyote ataoa kiumbe cha naman hii. Huyu atakuwa wa kutumiwa kuzalishwa na kuachwa. Hana akili wala haiba ya kuwa mke wa mtu. Janga.
 
Team ya huyu m mama wana akili kama zake. Watu wanapoongelea mapenzi, wao wanaongelea uchumi. Bila shaka team yahuyu mama wote ni bongo zero. Ni mwanamke gani anayelilia kula makombo? Kwamba Dai anapokataliwa na Zari ndipo yeye aonekane? Kuwa mama Dee kwa ajli ya uchumi ndio upumbvu tunaoungelea. Ona hpaa.

Hiki kimwana mke kina nuksi. Hakuna mwanamme atampenda zaidi ya kum blackmail mondi na kumtakia huzuni ya kukataliwa na mke wa chaguo lake ili chenyewe kiingie. Hii ni roho ya kiuaji.

Ni sawa na fisi anayesubiri mzoga uachwe naye apate kivuno. Halafu eti mnampa hongera. Upumbvu na ushetani mtupu!


Angalia hii hapa.

Kama ndivyom basi fisi atafute mzoga mwingine kwa kuwa hapa kimenuka. Na akienda kwa mga.nga mwingine kufanya u cha . wiwake , safari hii ataokota makopo. Jinga sana hili li mama.


Achana na maisha ya watu wewe kimama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ona hapa.

Hiki kimama hakijitambui. Mtu jizi mharibifu wa nyumba za watu. Una ujasiri gani wa kumtaja Mungu katika upumbavu wa namna hii? Unaweza kudiriki kusema unaongozwa na Mungu wewe? Unalazimisha kuvurga mahusiano ya watu kwa ushambenga na ushagishagi kwa kisingizio cha "uzazi wenzako", "kuheshimu damu", kuzaa na watu ili uwang'ang'anie kwa kisingizio cha mtoto wakati uma.;aya wako ndio unaokusumbua?

Ungelikuwa unalenga kutunza uhusiano wa damu na si um'..laya wako, bila shaka ungeridhika tu kwa Dai kutunza mtoto wake na si kumganda kwa kumjengea fitina ili Zari waachane kusudi aje kwako. Wewe ni mpumbV SANA. Mitogo yako ya kinafidki inapobuma, unaanza kumlalamikia Mungu. Mungu wako ni nani? Bila shaka wanaokuita she'.ta.ni, hawakosei. Kwei hiki kimwanamke ni she/t.ani kwa kuwa kazi yake ni kuiba visivyokuwa vyake kwa hilv kikidhani watu hawaoni wala hawajui, kuchinga na kkuahribu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…