Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,918
Hapo kwenye mikoba naanza kunusa harufu ya kukamatana ugoni.!!muadvance mwende kwenye vifaa kama simu mabegi ya watoto wa shule mikoba n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye mikoba naanza kunusa harufu ya kukamatana ugoni.!!muadvance mwende kwenye vifaa kama simu mabegi ya watoto wa shule mikoba n.k
Kwahiyo chombo kikiibiwa kikapelekwa milima ya udzungwa sikipati tena?Nadhani unamaanisha signal. GPS ni kama simu kwahiyo inafanya kazi tu pale panapokuwa na network. Internet tunagharamia sisi wenyewe na tunafanya kazi na Mitandao mikubwa ya simu Tanzania. Vodacom na Airtel.
kwa mfano chombo kinaibiwa na hakipatikani ,mkataba hapo unasemajeHabari Wadau wa Jamii Forum,
Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.
Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
View attachment 1439524
Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.
Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.
Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.
Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.
+255 754 711 783
+255 713 647 016
+255 742 166 415
Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook
Kama amekuibia Dar es Salaam, Kabla hajatoka nje ya Mji aliopo tutakuwa tumeisha mpata. Kwa mfano ulioutoa, kupeleka chombo chochote milima ya udzungwa itachukua muda. Kwa kushiriana na jeshi la polisi, tunauwezo wa kufanya tracking na tutampata kabla signal haijapotea.Kwahiyo chombo kikiibiwa kikapelekwa milima ya udzungwa sikipati tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashirikiana na polisi kila hatua mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha chombo kinapatika. Ikumbukwe hii ni Huduma ya Ulinzi. Hatusemi vyote vilivyoibiwa vitapatikana lakini tunasema asilimia 99% tutakipata chombo kilichoibiwa kama taarifa itatolewa mapema iwezekanavyo.kwa mfano chombo kinaibiwa na hakipatikani ,mkataba hapo unasemaje
Ingekua vyema wangeweka na battery katika hiyo GPS ili isiingiliane na battery ya pikipiki.Niliibiwa pikipiki mwaka jana wakalikukusa wakaling'oa vitu baadhi isipokuwa injini. Lakin battery walilitoa. Sasa apo ni vp kama battery wameshalitoa itakuwa na mfumo wa umeme tena itaload location
Sent using Jamii Forums mobile app
GPS zetu zina battery inayoweza kukaa zaidi ya masaa 24. Ndani ya masaa 24 bada gps itakuwa hewana na tutaweza mpata kama taarifa itatoka mapema.Niliibiwa pikipiki mwaka jana wakalikukusa wakaling'oa vitu baadhi isipokuwa injini. Lakin battery walilitoa. Sasa apo ni vp kama battery wameshalitoa itakuwa na mfumo wa umeme tena itaload location
Sent using Jamii Forums mobile app
GPS zetu zote zina battery. Inayoweza kukaa kwa masaa zaidi ya 24. Taarifa ikitufikia mapema tunaweza fuatilia na kukipata chombo mapemaIngekua vyema wangeweka na battery katika hiyo GPS ili isiingiliane na battery ya pikipiki.
Naomba uni inbox number yako nikupigie.Nawapigia hampatikani.
Mkuu unaweza ukatanua wigo ukafanya kazi ya kutrack boti ndogo za utalii na uvuvi.Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.
Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya gps kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
![]()
Utaweza ona:
Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.
Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.
Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.
Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.
+255 754 711 783
+255 713 647 016
+255 742 166 415
Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook
GPS zetu zinauwezo wa kutrack chombo chochote cha nchi kavu na majini. Pale popote penye Network ya simu tunaweza operate bila shida.Mkuu unaweza ukatanua wigo ukafanya kazi ya kutrack boti ndogo za utalii na uvuvi.
Kama upo tayari, karibu tubadilishane mawazo.