SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

JE GARI AU PIKIPIKI YAKO IIMEFUNGWA KIFAA CHA GPS?

  • Total voters
    6
Nadhani unamaanisha signal. GPS ni kama simu kwahiyo inafanya kazi tu pale panapokuwa na network. Internet tunagharamia sisi wenyewe na tunafanya kazi na Mitandao mikubwa ya simu Tanzania. Vodacom na Airtel.
Kwahiyo chombo kikiibiwa kikapelekwa milima ya udzungwa sikipati tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mfano chombo kinaibiwa na hakipatikani ,mkataba hapo unasemaje
 
Kwahiyo chombo kikiibiwa kikapelekwa milima ya udzungwa sikipati tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amekuibia Dar es Salaam, Kabla hajatoka nje ya Mji aliopo tutakuwa tumeisha mpata. Kwa mfano ulioutoa, kupeleka chombo chochote milima ya udzungwa itachukua muda. Kwa kushiriana na jeshi la polisi, tunauwezo wa kufanya tracking na tutampata kabla signal haijapotea.
 
kwa mfano chombo kinaibiwa na hakipatikani ,mkataba hapo unasemaje
Tunashirikiana na polisi kila hatua mpaka dakika ya mwisho kuhakikisha chombo kinapatika. Ikumbukwe hii ni Huduma ya Ulinzi. Hatusemi vyote vilivyoibiwa vitapatikana lakini tunasema asilimia 99% tutakipata chombo kilichoibiwa kama taarifa itatolewa mapema iwezekanavyo.
Tukirudi kwenye swali lako, Kampuni haitafidia mali iliyopotea lakini itafanyakazi na jeshi la polisi mpaka hatua ya mwisho.
 
Niliibiwa pikipiki mwaka jana wakalikukusa wakaling'oa vitu baadhi isipokuwa injini. Lakin battery walilitoa. Sasa apo ni vp kama battery wameshalitoa itakuwa na mfumo wa umeme tena itaload location

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua vyema wangeweka na battery katika hiyo GPS ili isiingiliane na battery ya pikipiki.
 
GPS zetu zina battery inayoweza kukaa zaidi ya masaa 24. Ndani ya masaa 24 bada gps itakuwa hewana na tutaweza mpata kama taarifa itatoka mapema.
Naomba number yako tuongee vizuri
 
Ingekua vyema wangeweka na battery katika hiyo GPS ili isiingiliane na battery ya pikipiki.
GPS zetu zote zina battery. Inayoweza kukaa kwa masaa zaidi ya 24. Taarifa ikitufikia mapema tunaweza fuatilia na kukipata chombo mapema
 
Mkuu unaweza ukatanua wigo ukafanya kazi ya kutrack boti ndogo za utalii na uvuvi.

Kama upo tayari, karibu tubadilishane mawazo.
 
Hv najiuliza mwizi mwenye uelewa si anaweza kuking'oa hicho kifaa na kukitupa ndani ya muda mfupi toka wizi umefanyika na ikawa ngumu kumpata/kupata chombo husika?
 
siku hizi technojia inakua sana kuna kifaa kinaitwa GPS jammer kinawekwa kwenye cigarette lighter kuzuia tracking , mkuu naomba kufahamu kama mfumo wenu ni madhubuti kutoweza kuathiriwa na kifaa hiki
 
Mkuu unaweza ukatanua wigo ukafanya kazi ya kutrack boti ndogo za utalii na uvuvi.

Kama upo tayari, karibu tubadilishane mawazo.
GPS zetu zinauwezo wa kutrack chombo chochote cha nchi kavu na majini. Pale popote penye Network ya simu tunaweza operate bila shida.
Niandikie kwenye facebook KITAU MOTOR GPS au kwenye whatsapp number +255 754 711 783
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…