Funga mdomo wako!!

Funga mdomo wako!!

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
9,065
Reaction score
18,358
-Umepata mtoto funga mdomo wako!
-Umeoa au kuolewa funga mdomo wako!
-Umepata kazi au umekuwa promoted funga mdomo wako!

-Unampenzi unampenda sana usimuweke kwenye social networks,Funga mdomo wako!

Asilimia kubwa ya mambo tunayoyahitaji hayatokei kwasababu tumefungua midomo yetu kwa watu wasiohusika!
Ni ukweli usiopingika hakuna au ni wachache wanaotamani uwazidi uwazidi kiwango zaidi ya wazazi wako!
Wengi wamejawa na wivu na kuumia roho wengine wanavyofanikiwa..

Watakupa maneno ya kukupongeza ila roho zao wanazijua wenyewe!
Nimalizie kwa kusema tena"FUNGA MDOMO WAKO "

Ongeza mambo mengine tunayotakiwa kufunga mdomo!
 
Kweli kabisa mkuu kufunga mdomo muhimu...

Ukipata mafanikio fulani haina haja ya kujitangaza
 
Mkuu nimejifunza sana kwenye hili na adui sikuzote ni mtu wa karibu sana na wewe
 
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
Kila mmoja akifunga mdomo, tutajifunza vipi maendeleo kutoka kwao?
Hakuna kitu hapo. Shout shout shout.
 
Back
Top Bottom