Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
-Umepata mtoto funga mdomo wako!
-Umeoa au kuolewa funga mdomo wako!
-Umepata kazi au umekuwa promoted funga mdomo wako!
-Unampenzi unampenda sana usimuweke kwenye social networks,Funga mdomo wako!
Asilimia kubwa ya mambo tunayoyahitaji hayatokei kwasababu tumefungua midomo yetu kwa watu wasiohusika!
Ni ukweli usiopingika hakuna au ni wachache wanaotamani uwazidi uwazidi kiwango zaidi ya wazazi wako!
Wengi wamejawa na wivu na kuumia roho wengine wanavyofanikiwa..
Watakupa maneno ya kukupongeza ila roho zao wanazijua wenyewe!
Nimalizie kwa kusema tena"FUNGA MDOMO WAKO "
Ongeza mambo mengine tunayotakiwa kufunga mdomo!