Funga mwaka na hii

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
Msichana aliyekuwa na wewe kwenye mahusiano kipindi huna kitu, kapuku kabisa na Mwanamke aliyekusaidia wewe ukaja kuwa mwenye pesa tajiri mkubwa, yupi kati yao utamuoa?

ME: Mwenye Wowo kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji119]
 
Nilikwambia uachane na hausigeli wa hapo unapoishi kwa dada yako, hujanusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…