pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Inamaana hujasoma hizo comments za hapo juu au ??Kwaio hii thread ni ya kipuuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana hujasoma hizo comments za hapo juu au ??Kwaio hii thread ni ya kipuuzi?
Mbona kedrick anaanzisha thread za kijinga mnavunga kama haikuhusu kuwa mpole tu
Maana watu wanamwaga povu
Uwe unafikiria unapo andika team wema ndo wana huo ujinga na wengi ni wanawake sasa unavyoniambia mimi nimempenda kiba kwasababu namchukia diamond naona unachanganyikiwa maneno hayo waambie wana wake sio mimi na simchukii diamond ila ni shabiki wa kiba tatizo nini hapo?Pwilo Mimi nashauri huyo mtu wenu muandalieni menehiment yenye akili. Maana inatumika nguvu nyingi kumnadi hata kwa kutukana wengine.
Nashauri pia, wale wanaojiita team Kiba wabadili msimamo kutoka kuwa maadui wa Mondi na kuwa wapenzi wa Kiba.
Naamini wakibadilika hivyo watamsaidia Kiba kwa kuhudhuria show zake na kununua kazi zake. Huu upenzi feki wa kuandika tu hauna maana na wala hamumsaidii Kiba. Kuweni wapenzi wa Kiba.