issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
kuna threed moja ilikuwa inauliza kuhusu zile mzinga 21 zinazopigwa, kwanini ni 21 na wala siyo 7,10, 20? Mchangiaji mmoja akareply " sababu magu.... Ngoja kwanza nimalizie kiroba. Sasa muuni mmoja akam'Quote..."UPO NA MBOWE?" akimaanisha wapo na mbowe wanakunywa viroba.Hii Kali.