Funga mwaka:Ni comment ipi hapa JF ilikufurahisha sana na ukiikumbuka huwa unatamani kucheka?

Hii Kali.
kuna threed moja ilikuwa inauliza kuhusu zile mzinga 21 zinazopigwa, kwanini ni 21 na wala siyo 7,10, 20? Mchangiaji mmoja akareply " sababu magu.... Ngoja kwanza nimalizie kiroba. Sasa muuni mmoja akam'Quote..."UPO NA MBOWE?" akimaanisha wapo na mbowe wanakunywa viroba.
 
Faru john kufanya uhuni , hadi kupelekwa kwenye grument lodge kwa kuhodhi majike mengi
 
ha!ha! Noma sana!
 
Kuna member aliuliza ni usiku gani umewahi kuwa mfupi kwako? Kila mtu aliandika lake

Aliyenichekesha aliandika siku moja akiwa anachat kwenye simu na mpenzi wake alikosea akatuma sms ya mapenzi kwa Boss wake
 
Kuna jamaa humu alicomment pumber, jamaa mmoja akam-quote, "UKO NA MBOWE??"
Hahaha namkumbuka huyo jamaa aliingia kwenye mada akasema "em nimalize kunywa viroba halafu nitarudi kuchangia" basi ndo wakamquote na kumuuliza kama yupo na mbowe. Nilocheka pia
 
Hata mimi nilicheka sana jana ,nilim quote emoji
 
Issue ya faru John, kuna mdau aliuliza kuwa ni nani aliwalalamikia wahifadhi kuwa John amehodhi mademu wengi akimaanisha majike mpaka ikabidi ahamishiwe Grumett. hahaha.
 
Wakuu tiririkeni hapo tufurahi pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…