Funga mwaka special thread!

Funga mwaka special thread!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
Mwaka ndo huo unaisha,
mapenzi yamekufanyia nini?
1.umeumizwa mara ngapi?
2.Umetumia sh ngapi kuhonga na kuwanunulia zawadi mademu,
3.umetumia sh ngapi kila ulipotoka out na demu sometime demu huja na rafiki zake,
4.umetumia sh ngapi kununua vocha ili umpigie demu na wakati mwingine kumtumia vocha,
5.umetumia sh ngapi kupendezesha demu huku ukijua kuna watu wanakumegea!
6.umetumia sh ngapi kama nauli ili kumfuata demu au yeye kuja kwako,
7.umetumia sh ngapi kulipia gesti kila upatapo demu,
8.umetumia sh ngapi kuwatolea mimba mademu ambao hukutaka kuzaa nao,
9.umetumia sh ngapi kuwalipa makuwadi,
Angalia viwalo vyako ni vikuukuu,
kula kwako kwa taabu na kodi unalipa kwa mbinde!
Jipange upya mwakani usirudie makosa..,happy new year!
 
Vp kuhusu ww mwenyew,heb tuanikie evaluation yako kwa hay uloyataja thn zetu zp njiani mana bd wengn hatujanza kukalukuleti hzo mambo.
 
hii naona inawahusu zaidi wakaka........
 
yamenifanyia mambo makubwa mnoooo na ya ajabu mnoooooooooooooo thanx JESUS!
i found the right man ..........2011 year to remember
 
mh! Inaukwel ndan yake mana usipime ni kaz si mchezo lazma kunamoja ya mambo kama mwanaume utakuwa umefanya kwny haya
 
Back
Top Bottom