Fungate: Mwanamuziki mkongwe na mbunge wa Mikumi, Prof. J kufunga ndoa na Grace

Mkuu nawaza tuu. Unajua kwamba Prof. ameoa mwanamke mtu mzima mwenye maamuzi yake na jinsi anavyotaka mwili wake uonekane? Profesa atamkataza asiweke make up?

Kama umeshaoa, who are you to judge? Kama hujaoa nakushauri ufuate usemi wa kipanya: akiba ya maneno ni muhimu kuliko hata akiba ya pesa.

Jioni njema.
 
hongera prof jay bora umekula dhahabu na makinikia hujayatupa wengi wao hupenda dhahabu tu
 
Reactions: SDG
Hivi huyu mwanamke ndio aliye zaa nae yule mtoto wa kike aliye nae au...

otherwise, kila la heri wajina
Ndio yeye...halafu mtoto mkubwa tu..miaka nenda rudi wanaishi unyumba..sendoff ya nini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wkt it seem alishasepa kwao miakaa.
Wangebariki tu ndoa then kwisha
 
ila hivi kweli..hizo gharama wangeziokoa tu
 
Ndio yeye...halafu mtoto mkubwa tu..miaka nenda rudi wanaishi unyumba..sendoff ya nini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wkt it seem alishasepa kwao miakaa.
Wangebariki tu ndoa then kwisha
wanarudisha michango yao, lol
 
Reactions: SDG
Aiseee kumbe alikua bado ajafunga ndoa muda wote huu ilikua ni uzinzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…