Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Namuona mbunge hapo...amepotea kweli Edwin SandaView attachment 537178
Pichani mbunge wa Mikumi, Professa J akiwa na rafiki yake kwenye send off ya mkewe tayari tayari kwa fungate hivi karibuni.
View attachment 537177
Pichani mke mtarajiwa wa professa, Bi Grace akiwa kwenye send off yake hivi karibuni.
View attachment 537179
Pichani wapendanao wakiwa kwenye mizunguko ya kila siku.