fungate ya mwaJ na mwita maranya,yatakayojiri...

Mzee mwenzangu Bishanga Hapa najiandaa kwenda kuoga na maji ya Bahari maana mipango yangu inavurugika hata kabla ya kuanza.

ushaambiwa uoge maji ya pilipili husikii Mzee
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaaa! Bishanga sio vizuri kumchekesha hivi bi harusi! Kwenye huu uzi wako sirudi tena! Lol!

rigwaride likikushinda niPM nije nikupeleke Maldives ukale raha.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaaa Bishanga unavuta sigara ya kuchaji na betri nini siku hizi!?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha haaaaa Bishanga hii nilikuwa sijaiona mzee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…