Fungu la 10 ni kitu ambacho hakipo kwa sasa kwa mujibu wa biblia na ni kujiumiza bila sababu kuendelea kutoa

Ukiwa ndani ya ndinga lako huonagi watoto wanaoomba?
Funga safi nenda hospital uwapelekee mahitaji wagonjwa waliotelekezwa na watu wao wa karibu
Kanzi inaanza, huo muda wa kufuatilia sasa, ufanye kibarua kwel kwel
 
Ukimalizana na fungu la 10 uje uangazie kidogo hii sadaka ya kujimaliza. Imo kwenye maandiko kweli? 🖐🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
uzuri huwa wanainuka wenyewe ama wananyoosha mikono ili wajimalize, hawakabwi
 
Sina uwakika kama uyu analijua ili!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1720595722173.jpg
    155.8 KB · Views: 6
Kwa kweli bila kuepesa macho, fungu la kumi kama unataka kutoa bila tashishi kawape maskini wa kweli na wajane wa kweli, period!!
 
Sijui kama mwenye akili timamu anatoa fungu la kumi, na akitoa huenda ni pesa ya magumashi kutaka kuficha mambo ili aonekane mwema.
 
uzuri huwa wanainuka wenyewe ama wananyoosha mikono ili wajimalize, hawakabwi
Uko nje ya mada mkuu...

Hata wale waliokufa katika msitu wa Nyakahola kwa kufunga mpaka kufa pastor MacKenzie hakuwalazimisha! 😁
 
Mawazo haya uja pale unapokuwa umeanza kuyumba kiuchumi!!
 
Na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya migogoro katika nyumba za Ibada na fedha za sadaka. Penye ukata kuna amani na watu wanamtafuta Mungu. Kwenye Pesa kuna malumban, migogoro na usanii. Huwezi kuwa na nia ya kufanya kazi ya MUNGU mkaunda makundi, mkaondoana kwa zengwe
 
Shetani mwenyewe anapokea sadaka za kuku ,mbuzi, ngamia, njiwa. Sembuse Mungu
Mungu na shetani hawapo.

Hakuna mungu au shetani anayepokea sadaka.

Sadaka zote zinapokelewa na wanadamu na kuwafaidisha wanadamu kwa kutumia majina feki ya kubuni mungu na shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…