air commander
Senior Member
- Jun 10, 2024
- 147
- 133
Ili iweje?Tundu Lissu akipiga makelele kwenye jukwa si mnamuona chizi watanganyika muungano uvunjwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje?Tundu Lissu akipiga makelele kwenye jukwa si mnamuona chizi watanganyika muungano uvunjwe.
Hujanifahamu, wanakusanya kodi hadi kwa walipakodi wadogo.Kwa hiyo kule Zanzibar TRA hawakusanyi pesa ila wanafanya assessment 😄😄😄
Acha upumbavu basi
Sahihi kabisaHujanifahamu, wanakusanya kodi hadi kwa walipakodi wadogo.
Hunaga akiliNdio hivyo kwani hamjui kujielimisha kuhusu mambo ya Muungano na Mambo yasiyo ya Muungano? Ndio ukweli huo.
Mwisho mkitaka Zanzibar isipate vunjeni Muungano na ondoeni TRA kule Zanzibar.
Sijajua unashangaa nini wakati hiyo ni muendelezo wa hakuna mbara kumiliki Ardhi Zenji ila Wazenji lazima wamiliki Ardhi Bara.
Ndio makubaliano ya Muungano,kwani ukienda kuposa unapangiwa utaratibu hutaki acha vunja ndoa.
By the way Zanzibar inaibiwa au kudhulumiwa zaidi na Bara kuliko hicho wanachopakwa nacho Mafuta ndio maana hata Kesho Muungano ukivunikia Wazanzibar watafanya sherehe ,mnawacheoewesha kuwa kamaa Mauritius.
Wewe unazo?Hunaga akili
Kama TRA wanakusanya kodi huko Zanzibar, sasa mbona wanatoza tena ushuru/kodi katika bandari za Tanganyika vitu vinavyoingizwa kutoka Zanziba? Si wabunge walilalamika ila serikali inasema huo ni urongo. Hata wenye vitu zaidi ya kimoja bandarin ukifanya ujanja kuomba mtu ashike kingine kuepuka kodi kumbe wao wanafuatilia toka unapoingiza mzigo huko Zabzibar. Sasa ni vipi wafuatilie huku kama wako huko tayariSahihi kabisa
Sio Rukwa ni Katavi.Tanganyika ni Wilaya huko Rukwa
Huna uelewaTRA na mamlaka zingine za Muungano zinafanya nini Zanzibar zaidi ya kukusanya pesa zao? So Kwa nini Wazanzibar wasiwe na Chao kwenye Muungano wakati hela zao zinachukuliwa?
Nikajua umeweka hizo takwimu zinazosema hazivuki Bahari.Huna uelewa
TRA wanakusanya mapato lakini hayavuki bahari. Huo ndio ukweli wala hauna ubishi
Takwimu za BoT na kwingine zipo wazi
Kwa taarifa yako hata pesa za ''Uhamiaji' haziingii hazina ingawa Uhamiaji ni jambo la Muungano tena wafanyakazi wa Uhamiaji Zanzibar na majengo n.k. yakigharamiwa na JMT.
Twambie mwaka 2023 kiasi gani kimeletwa?Nikajua umeweka hizo takwimu zinazosema hazivuki Bahari.
Wewe acha ujinga,TRA sio wakala wa SMZ,pesa zote zinaingia Hazina migao inaanza.
Mwisho kama haziingii,Zinaenda wapi?
Katika mambo 11 ya Mkataba wa Muungano wa mwaka 1964 Elimu ya Juu haikuwepo.
Zanzibar haiwezi kusanya Mapato yake Kupitia ZRA harafu ilete kwenye Muungano wakati TRA wanakusanya pesa Zanzibar,huo ujinga mtafanya nyie sio Wazanzibar.Twambie mwaka 2023 kiasi gani kimeletwa?
Kwa mujibu wa Gavana wa BoT marehemu Ndulu Zanzibar haijachangia Muungano kwa miaka 40
2. Kasome Bajeti ya SMZ 2023/2024 inaeleza TRA Zanzibar itakusanya 450B na hizo ni sehemu ya Bajeti.
Hakuna mahali inasemwa itapewa 450 kutoka Dar es Salaam, ikiwa ni ushahidi wanachokusanya ndicho wanachotumia.
Hata pesa za ''visa' hazivuki sembuse , yaani Watumishi wa Uhamiaji wanalipwa na JMT ambayo ni Tanganyika.
Mwaka jana JMT imejenga majengo kule Zanzibar lakini mapato yanabaki huko.
Anayesema haya ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Makamu wa kwanza wa Rais Bw. Masoud Othman, akisema Uhamiaji imeondolewa katika mambo ya Muungano.
Wazanzibar mumebanwa hamna pa kutokea! hamna mchango wowote !
Rais SSH na Rais Mwinyi wameongeza pesa kutoka 4.5% hadi 9% kwa mujibu wa Saada Mkuya, Waziri ofisi ya Rais na nimekuwekea maneno yake katika bajeti hapo juu.
Ni hivi, Bajeti ya JMT ambayo ni ya Tanganyika, Zanzibar inapewa 9%, piga hesabu
Kwa mujibu wa Saada Mkuya Bajeti ya SMZ imeongezeka kwa 43% mwaka 2024/2025 kiwango ambacho hakiwajawahi kutokea! Yaani sasa imeongezeka almost 50%.
Jiulize ni sheria gani iliyotumika kuongeza kiwango hicho? Nani alikuwa mwakilishi wa Tanganyika?
Bajeti ya Zanzibar inasema TRA imechangia 450 BZanzibar haiwezi kusanya Mapato yake Kupitia ZRA harafu ilete kwenye Muungano wakati TRA wanakusanya pesa Zanzibar,huo ujinga mtafanya nyie sio Wazanzibar.
Hizo hizo 450B ndio mchango wa Zanzibar kwenye Muungano maana hata staff wa huko sio wote Wazanzibar wapo Wabara kibao tuu,the likes na kwenye taasisi zingine mfano za Utalii ,Uhamiaji,Mambo ya Nje ,mambo ya ndani nk.
Mwisho stori hizo zingine zooite hazinihusu na ni ujinga Kwa sababu wanabembeleza Muungano ni Bara sio Zanzibar kama mna jeuri vunjeni.
My Take: Mimi ni mjinga wa Njombe sio Mzanzibari
Vikosi vya SMZ,KMKM Huwa unalipa wewe?Bajeti ya Zanzibar inasema TRA imechangia 450 B
Kuhusu wafanyakazi hiyo ni kwa faida ya Wazanzibar. TRA na Uhamiaji zinaajiri Wazanzibar wengi kuliko Zanzibar.
Mfano, Wahitimu wa Uhamiaji pale Tanga kutoka Zanzibar ni 50, kuna port of entry ngapi za kuajiri watu 50 kwa wakati mmoja kule Zanzibar. Rais SSH alisema waletwe Bara
Kamuulize Saada Mkuya aliyesema yote hayo
Jiulize kama TRA wakusanya huko ile GBS mbona ni kubwa kuliko hizo pesa? unajua GBS au nimekuumiza
Tuonyeshe bajeti ya jeshi, mambo ya ndani., nje, Wabunge na taasisi za muungano kutoka Zanzibar! zero
Bado Zanzibar inapewa 9% ya bajeti ya Tanganyika! ni Trilioni, halafu utuambie eti bilioni 450
Mnaelezwa kwa uwazi tu, hamna mchango wowote, zero! ni mabingwa wa kudai tu.
Ni wapi na lini Zanzibar imewahi lipiwa Mkopo na Tanganyika?
Zanzibar Inachukua Mkopo Kwa mgongo wa Tanzania yenyewe kama yenyewe hairuhusiwi Kwa sababu sio Nchi yenye mamlaka kamili.
Na Mkopo ni jambo la Muungano Kila upande unalipa.
Kama Zanzibar hailipi,TRA,Uhamiaji,Majeshi nk wanafanya nini Zanzibar?
Hiyo ya 4.5% to 9% ni uzushi na kama ni ukweli mwambie aweke ushahidi hapa tuone.
Mwisho Wabunge wapo Kwa mujibu wa makubaliano
Zanzibar kukusanya Mapato Yao sio kesi,kwani Halmashauri za Bara Huwa hazikusanyi Mapato Yao ya ndani? TRA Huwa wako wilayani kufanya nini Sasa kama Halmashauri zinakusanya Mapato Yao?
Hivyo hivyo jibu swali,kama Zanzibar Wana ZRA Yao,TRA wanafanya nini kule? Au wako kama pambo hawakusanyi Mapato? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TRA wanawafanyia assessment mpaka walipakodi wadogo wa huku Zanzibar
Tundu Lissu akipiga makelele kwenye jukwa si mnamuona chizi watanganyika muungano uvunjwe.
Mh Saada Mkuya
Bajeti ya SMZ June 2023
'' 18. Mheshimiwa Spika, kwa kutambua , umuhimu wa suala hili kisiasa,
Viongozi wetu Wakuu Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Dkt.Hussein Ali Mwinyi, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, waliagiza kwa
pande zote mbili kukaa pamoja na kuangalia misingi na vigezo
vya kitaalamu vitakavyokuwa bora katika ugawaji wa rasilimali hizo
kwa pande zetu mbili. Baada ya Kamati za Kitaalamu za Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar kukaa kwa pamoja na kulifanyia kazi suala hilo,
mapendekezo yaliyozingatia vigezo vya kiuchumi, kiutawala pamoja
na uwezo wa kukopa, yamewasilishwa na kupokelewa na Serikali
ambapo kuanzia sasa, mgao wa GBS kwa Zanzibar umeongezeka
na kufikia asilimia 9 badala ya asilimia 4.5 iliyokuwepo awali.''