Fungu la elimu ya Juu Zanzibar

Nikajua umeweka hizo takwimu zinazosema hazivuki Bahari.

Wewe acha ujinga,TRA sio wakala wa SMZ,pesa zote zinaingia Hazina migao inaanza.

Mwisho kama haziingii,Zinaenda wapi?

Wewe kweli hamnazo.

Toka kale hakuna pesa inayokusanywa na TRA Zanzibar ilivuka kwenda BOT. Huwa inabakia Zanzibar kugharamia mambo ya Muungano. Na bado huwa ni kidogo sana, hivyo Tanganyika kulazimika kuongezea.
 
Mkuu una hoja kuntu! Upewe majibu ili tuelimike na kunufaika sote.
 
Wazanzibari hawaelewi. Wanadanganywa na wajinga wenzao kuwa eti bila Muungano wangekuwa vizuri sana, lakini ukweli ni kuwa Zanzibar leo hii ikiwa nje ya Muungano, itakywa maskini kuliko hata Burundi. Zanzibar na Wazanzibari wanatunzwa na Tanganyika.

Wajaribu watoke kwenye Muungano waone watakavyokuwa.
 
🀣 🀣 🀣
 
Mkuu hujatoa majibu nawe umepita mule mule kuuliza maswali yale, hatujakuelewa ulitaka kusema nini, rudia kusoma hoja kuu.
 
Wewe kweli hamnazo.

Toka kale hakuna pesa inayokusanywa na TRA Zanzibar ilivuka kwenda BOT. Huwa inabakia Zanzibar kugharamia mambo ya Muungano. Na bado huwa ni kidogo sana, hivyo Tanganyika kulazimika kuongezea.
Bams,

Yaani mimi nilitaka kumuuliza ni kwa namna gani watu karibia 1.5 milioni wakaweza kuwa wananyonywa na Watu 60+milioni wenye mbuga za wanyama, wenye bandari, wenye maziwa, wenye bahari, wenye misitu, wenye kulima, wenye madini n.k?!

Ni kwa uwiano upi unaonyesha Tanzania bara inawanyonya Wazanzibar?
 
1.) Ukitizama muungano wetu, unajua ujinga wetu.
2.) Ukitizama katiba yetu, unajua ujinga wetu.
3.) Ukitizama taasisi zetu, unajua ujinga wetu.
4.) Ukitizama bunge letu, unajua ujinga wetu.
5.) Ukitizama rasilimali zetu, unajua ujinga wetu.
6.) Ukisikiliza viongozi wetu hasa waandamizi na wakongwe ndiyo utajua ubongo wetu ni tofauti saaana!!
Muungano usio na haki ndani yake ni uthibitisho wa ujinga wa wananchi waliomo kwenye muungano huo!! Na hakuna dalili yoyote kuwa hivi karibuni tutaget back to our sense!!
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŠπŸ‘
 
Mkuu hujatoa majibu nawe umepita mule mule kuuliza maswali yale, hatujakuelewa ulitaka kusema nini, rudia kusoma hoja kuu.
Mkuu mizania,

Nilikuwa namuuliza mkuu The sunk anieleze kivipi znz inanyonywa na Tanzania bara.

Lakini kuna watu wamejaribu kumjibu kwamba hakuna pesa inayotoka kule kuja huku licha ya kudai Kwanini TRA, uhamiaji wapo kule.
 
Wafanyakazi wa Zanzibar waliosomeshwa kwa HESLB inasemekana hawakatwi mikopo Yao waliyosomea... WHY??
Hii nchi bana 😏😏😏
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŠπŸ‘
Mkuu vitisho hivyo, umasikini hauwezi kulingana na uhuru!! Jaribu upigwe mwaka mmoja gerezani halafu uone kama hela ina maana!!!
 
Mkuu mizania,

Nilikuwa namuuliza mkuu The sunk anieleze kivipi znz inanyonywa na Tanzania bara.

Lakini kuna watu wamejaribu kumjibu kwamba hakuna pesa inayotoka kule kuja huku licha ya kudai Kwanini TRA, uhamiaji wapo kule.
πŸ™πŸ™‹β€β™‚οΈ
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
βœοΈπŸ“β“β“πŸ’«
 
Mkuu una pointi hapa!!! Usikilizwe!
 
TRA na mamlaka zingine za Muungano zinafanya nini Zanzibar zaidi ya kukusanya pesa zao? So Kwa nini Wazanzibar wasiwe na Chao kwenye Muungano wakati hela zao zinachukuliwa?
Chawa Kwa sasa TRA zanzibar haina makusanyo zaidi ya bilioni 2 , ZRA imechukua kila eneo la TRA na watumishi wa TRA kule wanalia kila siku, hakuna tena TRA kule imebaki story tu, endelea kupiga makofi sasa
 
🀣 🀣 🀣
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…