Fungu la kumi / kwa imani zote linatumikaje?

Zainab j

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
1,817
Reaction score
2,362
Wakuu morning,

Hivi fungu la kumi kwa wakristo na Waislamu linatolewa ipasavyo kweli, mbona level ya umasikini kwenye jamii inaongezeka.

Au huwa ZAKA hailekezwi kwa masikini Kama inavyotakiwa?

Waislamu nasikia wao zaka ni kwajili ya masikini, wakristo pia nasikia ZAKA nikwajili ya wachungaji sijui na Walawi,sikwajili ya masikini, je ukweli upoje
 
Mal 3:10-12 SUV​

Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.
 
Waislamu wana fungu la kumi?

Kwa mujibu wa hii nukuu, inamuwakilisha nani hapo?
 
Unaijua historia ya fungu la kumi katika ukristo? Hebu sikiliza hapa kidogo:
 
Wakuu morning,

Hivi fungu la kumi kwa wakristo na Waislamu linatolewa ipasavyo kweli, mbona level ya umasikini kwenye jamii inaongezeka.

Au huwa ZAKA hailekezwi kwa masikini Kama inavyotakiwa?

Waislamu nasikia wao zaka ni kwajili ya masikini, wakristo pia nasikia ZAKA nikwajili ya wachungaji sijui na Walawi,sikwajili ya masikini, je ukweli upoje
Kwa Wakristu Zaka na dhabihu ni kwa ajili ya huduma za kuwezesha kazi za Kiroho ziendelee kufanyika.Watumishi wa kwenye mahekalu(Pastors,Padres,na watumishi wengine wanaofanya kazi za kanisa fulltime wanategemea hizo pesa kwa ajili ya kuhudumia kanisa na familia zao. Na pia maintanance ya nyumba za ibada inategemea pesa hizo hizo.Umeme maji nk.
 
Back
Top Bottom