Nina mpango wa kufungua kanisa, mzilete kwangu, mi nitaziwasilisha Kwa Mungu sadaka zenu na kuwapa masikiniToa sadaka acha kulialia. Hata msaada kwa qengine ni sadaka. Watu walitoa vitu kama vile kuku nafaka ng'ombe mbuzi na fedha kama sadaka. Ndipo yakajengwa makanisa unapokwenda kuabudia sasa. Kwanini na wewe usiweke alama kwa wengine??
Unapotoa sadaka usiwatizame binadamu bali mtizame Mungu Muumba wako. Amebarikiwa yule atoae yeye na uzao wake.
Hao unaowasema walitoa hizo mali yakajengwa makanisa. Leo hii tuna toa sadaka ku fund luxurious life styles za wapakwa mafuta wa bwana 😂😂Toa sadaka acha kulialia. Hata msaada kwa qengine ni sadaka. Watu walitoa vitu kama vile kuku nafaka ng'ombe mbuzi na fedha kama sadaka. Ndipo yakajengwa makanisa unapokwenda kuabudia sasa. Kwanini na wewe usiweke alama kwa wengine??
Unapotoa sadaka usiwatizame binadamu bali mtizame Mungu Muumba wako. Amebarikiwa yule atoae yeye na uzao wake.
Kwel wao kila Kitu, ni michango, mpaka nyumba ya Mchungaji gari, mafuta Kuishi kwake ... ni Utapeli mkubwa, ndomana bibi yangu huwa anasema kama zambi apate tu..... Maana awezi kupata shida pesa ampe mtu mwinginePia uliwahi jiuliza sadaka kanisani zinapelekagwa wap?
Ukijua baadhi ya vitu utagundua
dunia inaongozwa na wajanja,,
Wakati wa kujenga shule ya kanisa wanaomba michango kwa
waumini mara mbili mbili... shule ikikamilika watoto wa waumini hawasomi bila kulipa ada Sawa sawa na wanaolipa watoto kutoka dini zingine ambao wazazi wao hawajachangia ujenzi
Ni utajiri mkubwa sana sana. Mtaji wake ni ujinga wa watu. Na wajinga wamejaa sana dunia hii. Kila siku wanazaa wajinga wengine so biashara hii itakulipaUwekezaji ktk kanisa nitaifanya huo ni Utajiri,
Huu ni wizi na utapeli vya kawaida. Kwani Mungu ni maskini hivyo? Mungu anahitaji pesa ya kazi gani wakati ahitaji chochote? Ama kweli, wajinga ndiyo waliwao. Hii ni aina mpya ya jinai iliyohalalishwa tokana na kutawaliwa na wenye ukosefu wa uadilifu na ubunifu. Serikali inapiga huku. Matapeli wa kiroho nao wanapiga kule. Ni kupiga mtindo mmoja kwa jina la Mungu.Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.
Sasa mchungaji ale wapiKwel wao kila Kitu, ni michango, mpaka nyumba ya Mchungaji gari, mafuta Kuishi kwake ... ni Utapeli mkubwa, ndomana bibi yangu huwa anasema kama zambi apate tu..... Maana awezi kupata shida pesa ampe mtu mwingine
Akafanye kazi na si utapeli kama iliviyo. Kwani hana akili na mikono?Sasa mchungaji ale wapi
Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.
Yeye ni kuhani na makuhani hula vya madhabahuni.Akafanye kazi na si utapeli kama iliviyo. Kwani hana akili na mikono?