Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

Fungu la Kumi/ Zaka na Sadaka, Michango ya Kanisani

Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.
Nijaribuni Kwa matoleo muone kama sitawafungulia madirisha ya Mbinguni☺️
 
Na wana vifungu vya kukudaka eti "leteni zaka kamili ghalani mwa BWANA ili kiwemo chakula,...mkanijaribu kwa njia hii" yaani umjaribu BWANA?! does it make sense wakati Yakobo inasema BWANA hamjaribu mtu wala yeye hajaribiwi, akili kumkichwa!
 
Sikuhizi wanaanzisha biashara, ninyi mliojichanga kutoa hiyo pesa mnakuwa sio sehemu ya umiliki wa hiyo biashara.
 
Fungu la kumi ni wizi

Fungu la kumi ni sheria ya Musa katika agano la kale.

kwenye agano la kale Hesabu 18:21 imeandika Fungu la kumi lilitolewa kwa kabila lililokosa ardhi linaitwa kabila la Walawi kwa ajili ya kazi yao katika hema la kukutania.

Leo tunaambiwa tupo kwenye agano jipya alilokuja nalo yesu kristo. tunaambiwa UKRISTO NI DINI YA WAFUASI WA YESU AMBAO TUNAFATA AGANO JIPYA.

Sheria za agano za kale hazifatwi na wakristo ndio maana tunakula kitimoto, wanawake wanaacha nywele wazi na wanaolewa bila bikira.

Cha kushangaza swala la fungu la kumi makanisa yanakusanya mpaka leo hii kwa kasi kubwa wakati ni agano la kale
Unachagua vya kusoma tu ? Sasa mbona husemi Amri kumi pia ni za Wana waisrael tu. Walizopokelewa na Musa.
 
Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.
ukiwa nayo toa, ukiwa huna kaa kimya tu na itamake sense sana, na ikiwa hutaki kutoa hiyo sadaka si uitumie kafanya yale yanayokupendeza gentleman?

hakuna haja ya kubaika na masuala ya kujitolea ikiwa unaamini kwenye kubarikiwa tu 🐒
 
ukiwa nayo toa, ukiwa huna kaa kumya tu na itamake sense sana, na ikiwa hutaki kutoa hiyo sadaka si uitumie kafanya yale yanayokupendeza gentleman?

hakuna haja ya kubaika na masuala ya kujitolea ikiwa unaamini kwenye kubarikiwa tu 🐒
Akili unazo sema tu ukishaingia hapo Lumumba buku7 mnapokonywa ufahamu mnaanza kutapika pumba 😂
 
Tunapowambia watu kwamba Mwenyezi MUNGU, hana dini yoyote bali yeye ni upendo watu huwa wanakaza fuvu. Dini zote unazoziona zinatoa huduma chini ya hasira ya MUNGU. Na kwakua sio tu viongozi wa dini bali waumini pia ni watu na tabia zao mifukoni and most of them are religious peoples, and not true Christians or Muslims.

That why there is pain everywhere, sababu bado wapo gizani na hawataki kuamka na kubadilika, because they are not worshiping GOD in love,faith and truth. But only for selfish reasons of worshiping material things like money, car and so on and so forth.
 
Ni utajiri mkubwa sana sana. Mtaji wake ni ujinga wa watu. Na wajinga wamejaa sana dunia hii. Kila siku wanazaa wajinga wengine so biashara hii itakulipak

Ni kweli unachosema.Especially yale makanisa ambayo ni private owned(Mjnistries). Kwa kuwa kuna utapeli , inabakia kwako binafsi kujua kwamba hii ni sauti ya Roho Mtakatifu au ni ya msela flan hiv mweenye njaa zake anaye ganga njaa ana kusaundisha apate kuingiza siku.Kutoa sadaka kunatoka ndani ya mtu,toka enzi za zamani(Mitume na manabii),kutoa hakujawahi kuwa mzigo.ukiona sadaka zinakuwa mzigo basi hapo kwenye hilo kanisa unaposali hawapo watumiwhi wa Mungu aliyehai ila ni matapeli waganga njaa tuu.Madhabahu ambayo Mungu yupo,utasikia raha moyoni baada ya kutoa sadaka.na wala hutaambiwa toa,bali utajisikia furaha sana unapopata nafasi/fursa ya kutoa.Ukiona unatoa baada ya kufundishwa saanaa faida ya utoaji, basi kuna hatari kwamba hapo unapigwa .Unatakiwa kutoa sadaka kwa tafakari binafsi inayokupelekea kumshukuru Mungu kwa jinsi ya ndani na ya kipekee ambayo ni binafsi sana kutokana na nafasi ya Mungu kwako.
Tofauti ipo pale tunaposhiriki kutoa MICHANGO ya ujenzi wa kanisa au ujenzi wa shule ya kanisa au nyumba ya kanisa.Hapa unakuwa ni mchango zaidi kuliko sadaka.na hapa ndiyo tunahitaji kukumbushwa mara kwa mara kutoa ili kukamilisha ujenzi..
Tapel on the Road
 
Wakristo Hususani, makanisani, Kumekua na Lundo la ukusanyaji Fedha, kwa kila Aina Ili tu wapate, Pesa.
Ukitazama Michango na Mfumo mwingi unaotumiwa na makanisa sio kusali Tena Bali ni ukusanyaji wa pesa.
Wahubiri na Viongozi Wanakazia sana kusoma vifungu vya kutoa/ Sadaka mda wote kuliko hata kusoma neno la kumuongoa mwanadamu, na Kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Zaka na Sada ndo msisitizo makanisani kuliko hata kuishi Maisha ya kumcha Mungu.
Wahubiri wapo kimkakati zaidi Ili wapate Pesa.
Matangazo Kila Kona ya kuvutia waumini ili mapato yaongezeke.
Note: Hakuna pesa, inayokwenda kwa Mungu, pesa watu wanazipambania kwa Manufaa yao, ndomana, hao Wenye makanisa ni matajiri kuliko waumini wao. Tazama hao Waubiri Maisha yao.
Kama baba yako au mama yako au mtoto wako anakwenda makanisani tambua kuwa huyo ni mpumbavu kwa asilimia 100% makanisa yenyewe madhehebu neno dhehebu maana yake ni dini ya shetani
 
Wakristo wa livyo wapumbavu awajui hata KANISA JENGO NI NINI ? maana kuna kanisa lisilo jengo na kanisa jengo ...kuna kanisa la kimwili na kanisa la kiroho (katika roho na kweli)
Nataka nianze kuleta nyuzi kuelezea hizi dini mbili zilivyo potoka
 
Back
Top Bottom